Naomba kupata utaratibu na viambatanisho vya kupata Hati ya Kusafiria (Passport)

Uhamiaji wanawashauri watu kufuatilia passport mapema hata kama hawana safari ila ukienda kufutilia wanakuomba barua ya mualiko

Hii nchi iko kizani kabisa,kuna siku nitamtwanga mtu risasi kama zile za Lissu
 
Daaah napata uchungu kweli Wa hizi process. Nitajaribu kwenda hivihivi na documents zangu. Wakikataa ntaomba upya, ila ntaeka nchi iliyo nje ya East Africa kama nilivyoshauriwa humu
 
UPDATES!

Submitting Invitation letter is Inevitable!

Nashindwa kuelewa kwenye hilo kwa kweli. Natafuta pesa kwa jasho , sasa nataka nitembee (nitalii) nchi zingine kwa pesa zangu (kufurahia Matunda ya jasho langu) unanizuia kwasababu sina mtu alienialika!!

Hawa wazungu wanaokuja kwetu wanapewaga mialiko!!

Sasa kazi ya tour guide ni nini ?!!

Nchi inataka kupanua wigo Wa utalii (yaani ipate wageni wengi) halafu inazuia wananchi wake kwenda kwenye nchi za kigeni. Halafu mnataka mahusiano mazuri na nchi nyingine!! Nonsense!!

Maxence Melo JamiiForums Tu naomba mfikishe hii kero yetu kwa Rais Mama Samia .

Kuna mambo ya ajabu sana pale Uhamiaji!!

Kingine ni kuwa watumishi Wa kike sio watu kabisa?! Hawana utu, heshima! Wanaongea kwa kufoka foka! Kutoa maelekezo vizuri hawawezi kabisa!

Mfano, unaweza kua hujakamilisha vitu kadhaa. Sasa badala akuambie vyote ,yeye atakuambia kimojakimoja. Yaan naenda kafuate kitu Fulani, ukirudi atakuambia tena fuata na kitu Fulani ! As if wananchi wrote wanakaa kurasirini!

Watumishi Wa UHAMIAJI (IMMIGRATION) mnatutesa jamani. Ninyi ni Wakoloni weusi! Mnatreat watu kama vile ninyi sio wananchi Wa Tanzania.

Daaah Nimeumia sana! Nenda rudi naenda rudi.

Mungu hatowaacha salama!
 
Wahamiaji wana ushamba flan hivi sijui wanajua hizo passport ndo ticket za kwenda mbinguni. Kwanza kupata hiyo Passport haimaanishi ndo utakua Free kusafir Dunia nzima, kuna nchi ambazo utanyimwa visa , yani mijitu Ina roho mbaya kama michawi, na hapo tena unalipia sio kwamba unapewa bure na bado tu watakusumbua kupata
 
Naomba Mama Samia alione hili. Watumishi wajaribu kuvaa viatu vyetu wataelewa.

Yaani mtumishi kukwambia njoo kesho ni kama kuvuta hewa. Hawajali umetoka wapi, wala umetumia gharama kiasi gani
 
Kwaiyo kama una namba ya namba ya NIDA, huwezi kupata hiyoo passport....
 
UPDATES!

Submitting Invitation letter is Inevitable!

Nashindwa kuelewa kwenye hilo kwa kweli. Natafuta pesa kwa jasho , sasa nataka nitembee (nitalii) nchi zingine kwa pesa zangu (kufurahia Matunda ya jasho langu) unanizuia kwasababu sina mtu alienialika!!

Hawa wazungu wanaokuja kwetu wanapewaga mialiko!!

Sasa kazi ya tour guide ni nini ?!!

Nchi inataka kupanua wigo Wa utalii (yaani ipate wageni wengi) halafu inazuia wananchi wake kwenda kwenye nchi za kigeni. Halafu mnataka mahusiano mazuri na nchi nyingine!! Nonsense!!

Maxence Melo JamiiForums Tu naomba mfikishe hii kero yetu kwa Rais Mama Samia .

Kuna mambo ya ajabu sana pale Uhamiaji!!

Kingine ni kuwa watumishi Wa kike sio watu kabisa?! Hawana utu, heshima! Wanaongea kwa kufoka foka! Kutoa maelekezo vizuri hawawezi kabisa!

Mfano, unaweza kua hujakamilisha vitu kadhaa. Sasa badala akuambie vyote ,yeye atakuambia kimojakimoja. Yaan naenda kafuate kitu Fulani, ukirudi atakuambia tena fuata na kitu Fulani ! As if wananchi wrote wanakaa kurasirini!

Watumishi Wa UHAMIAJI (IMMIGRATION) mnatutesa jamani. Ninyi ni Wakoloni weusi! Mnatreat watu kama vile ninyi sio wananchi Wa Tanzania.

Daaah Nimeumia sana! Nenda rudi naenda rudi.

Mungu hatowaacha salama!
Pole sana I wish ningeona Thread yako mapema!! Mimi nilipata E-Passport kwa kusema naenda KENYA harusini na wala hawakuhitaji Invitation Letter!! Ndugu zangu wote wameandika Wanaenda KENYA na kufanikiwa kupata Passport Pia. Vipi wewe ulifanikiwa kupata Passport??
 
Nimepata mbinu, na mm nitawaambia naenda Kenya kwenye harusi...
 
Nchi yetu hii tuna safari ndefu sana, kuomba passport unatakiwa uwe na ID TU,maana informations zote watakua nazo once ukiwapa ID book yako na kujaza passport application form
 
Means mm sijapata kitambulisho cha NIDA, ila nina namba ya NIDA, Naweza kupata hiyo passport ya kusafiria.....
Ndio unaweza kupata.

NB: Kwa muktadha huu, neno sahihi lilipaswa kuwa "HUNA".

Nimeshaelewa sasa mkuu.
 
Back
Top Bottom