Naomba kuongea na wanawake wenzangu ambao wapo kwenye ndoa na ambao mna matarajio ya kuja kuolewa

Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,247
2,204
Amani iwe nanyi..

Nawaombeni radhi kama ntakuwa nimewakwazaa.

Wanawake wenzangu.mimi ni msichana na huwa nina marafiki wengi sana wakiume.

Marafiki wa kike sina mazoea nao saana.coz hawawezi kukisaidia plus wivu hata kitu kidogo tu.

Katika marafiki zangu wengi ambao ninao wakiume 95% huwa wanasema wake zao ndo chanzo cha kumfanya mwanaume awe na mchepuko ,mmoja au zaidi..

Sanasana mmoja,Mwanaume akiwa na wanawake wengi nae ni malaya tuhuuu🙈🙈..

Wanawake wenzangu tulioolewa tunakwama wapi jomoni...
Embu tuache midomo isiyo na faida kwa wanaume zetu bana.
Mimi nimeacha baada ya kuchepukiwa😣

Nimejifunza ustaarabu mpaka anashangaa huyu mwanamke kulikoni...nilipogundua anamchepuko sijamuuliza ,sijagombana nae,japo alijua nimejua,,

Niliamua kumrudisha mume wangu kwa vitendo tu.mahaba kama yoteee..
Sasa mchepuko unalalamika baby hamjali...

Wanawake acheni midomo..tuwapeti waume zetu.
Wanaume ni kama watoto vile jitahidi kumjali na kumsuprise na mahaba motomoto kila siku...natamani niyaandike hata mahaba yenyewe hapa ya chumbani ninayompa, mpaka anatoa mimacho tuh🙄. ..🙈🙈 jokes.

Pulus vimaneno hata kama humpendi ,jitahidi hivyohivyo ili asichepuke...
Baby,sweet,love,mahabuba nk..

Mwanaume unamwita nyongo mkalia ini inahusu....
Mimi baby wangu sasa kabadilika .akitoka kazini brek ya kwanza nyumbani.... Japo niliumia ila nilijua tatizo ni mimi.

Sasa wewe jifanye unamdomo ,
Na wanandoa wana kawaida ya kuchokana, wanaume wanakawaida ya kukomoa,

Kama hujaletewa mke wa.pili japo kanisa haliruhusu......... Kazi kwako🤦
Pia msijibweteke tafuteni kitu cha kufanya maana wanakawaida ya manyanyaso wanae
Mapovu ruhsa
 
Aisee nitafanya vitu kutokana na wajibu wangu na uwezo wangu...siwezi fana kitu et ili asichepuke ...yeye apeleke tu mtalimbo wake kikubwa atimize wajibu wake
Pia sawa kama huna wivu...
Maana ukiwa na wivu unaweza ukawa 1🤷
 
Sema ukweli tatizo ni kutubania K wakati kuna wanasubiri kwa hamu kutupatia (mchepuko). Wanawake wanafikia wakati wa kumfinya mtoto alie ili akukwepe kuwa ngoja kwanza nimnyonyeshe mtoto au nimbembeleze alale ndipo niitoe K. Kabla hamjaoana anaitoa mpaka raha, akiishafunga ndoa K kwa manati
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa sasa mimi mahaba kuliko yale ya mwanzo...
Unakwenda kuingojea ili uifaidi, mama ati yupo jikoni anaosha vyombo. Unaingia jikoni unampetipeti anakueleza nenda kitandani nakuja, haji wee mpaka asikie unakoroma anakuja anajiweka kitandani kisailensa, ngoma imelala. Ukiamka unakuwa CCM juu hadi mishipa ya dushe inauma. Wakati umeoa, nasubiri nini kwanini nisikimbilie mchepuko? Akinamama saa ingine ne majanga tupu hasa ambao huwa hawachezwi.
 
Shida ni wewe mkuu. Wewe utakuwa ni mbinafsi, hata hiyo michepuko inakupa kwa sababu ya hela tu Ila ukikaa naye sana atakuchoka.
Wanawake tuna nyege pia, hata hiyo michepuko yako si ni wanawake?!?!
Mapenzi unayompa mkeo ni kama jogoo au ndo ndani nje ndani nje hata km ni saa nzima lkn hujamuandaa au upo kiubabeubabe mda wote. Ukirudi nyumbani utadhani brigedia kuingia kikosini.. Hamu kwa mkeo itatoka wapi? Sanasana na yeye ana mtu anayemkuna, hapo kwenu muishi km wapangaji tu 😂 😂 😂
 
Ungejua jinsi mwanaume unapokuwa na UH+ unavyomuandaa mkeo na kumbembeleza usingeniita mbinafsi. Mnaboa wakati mwingine mnaifanya iwe kama silaha. Kumuandaa mke wako ni kazi yako au yake. Je, mimi nani ananiandaa?
 
Kumuandaa sio tu mumtekenya.. Nimesema hata undava tu unaokuja nao home Hamu inaisha....

Ila haina shida wewe chepuka kwa starehe zako na yeye anachepuka kwa raha zake
 
Unakwenda kuingojea ili uifaidi, mama ati yupo jikoni anaosha vyombo. Unaingia jikoni unampetipeti anakueleza nenda kitandani nakuja, haji wee mpaka asikie unakoroma anakuja anajiweka kitandani kisailensa, ngoma imelala. Ukiamka unakuwa CCM juu hadi mishipa ya dushe inauma. Wakati umeoa, nasubiri nini kwanini nisikimbilie mchepuko? Akinamama saa ingine ne majanga tupu hasa ambao huwa hawachezwi.
Wacha niifaidi bana ni wangu wa halali hata saa 7jua lileeee
 
Back
Top Bottom