Naomba kunisaidia yafuatayo kwa kiswahili

Trial balance

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
202
159
Wale waliosoma masomo ya biashara:
- what is retail;
- what is wholesale;
- Importance of retail and wholesale;

Ninaomba kunisaidia yafuatayo pia:
- Types of retail 1.
- tinerant retailers ni nani!
- Hawkers & peddlers ni nani!
- Street traders ni nani!
- Market traders!
- Roadside traders!
- second hand traders!
- single shop!

Specialty shop hao watajwa wote wanahusika na nini pia kwenye large scale retailers multiple shop! Departmental stores! Supermarket na self services store nahitaji kuwajua hawa wafanyabiashara nitashukuru mana kesho nina mtihani
 
Hawkers wauza bidhaa kwa kutembeza kwa usafiri fulani mfano baiskeli na peddlers watembeza bidhaa kwa miguu.retail ni biashara ya rejareja na wholesale ni biashara ya jumla.
Itinerant retailers Ni wauzaji rejareja wanaotembeza bidhaa eg machinga
 
Hawkers wauza bidhaa kwa kutembeza kwa usafiri fulani mfano baiskeli na peddlers watembeza bidhaa kwa miguu.retail ni biashara ya rejareja na wholesale ni biashara ya jumla.
Asante sana naomba kunielezea na zingine
 
Back
Top Bottom