Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,402
- 58,951
Alikua ivyo eeh?Huyu demu amechanganya damu ana asili ya kinyarwanda kwao forest mpya mbeya namfaam vzuri coz nmesoma nae o level na advance sangu high school mbeya zamani Hakka na mshepu huo hapo nna uhakika ka ji boost parefu sana pia ni mtoto wa mchungaji zamani alikua descent sana saiv kageuka kua slay queen