buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Buhoro ksl ndio jina langu,Mimi no mgeni mpya kabisa ikiwa ni mara yangu ya Kwanza.....
Acha ujinga weweKaribu sana JF mjukuu wetu GT.
Vipi tena? Sikujua kuwa namiliki ujinga.Acha ujinga wewe
Why?Acha ujinga wewe
Karibu sana JF mjukuu wetu GT.
Acha ujinga wewe
Kwa ulichokijibu hapa kutokana na utani uliotaniwa hapo juu obviously wewe siyo mgeni ni mmoja wapo wa wale member wakorofi waliokula life BAN umeamua urejee kwa I'd nyengine na bado ukiwa hujajifunza kutokana na makosa yako.Kwahiyo hujaona ujinga wako?
sawa mkuu nimekuelewaKwa ulichokijibu hapa kutokana na utani uliotaniwa hapo juu obviously wewe siyo mgeni ni mmoja wapo wa wale member wakorofi waliokula life BAN umeamua urejee kwa I'd nyengine na bado ukiwa hujajifunza kutokana na makosa yako.
Nasisitiza hii ni wide forum siyo group la W'app la familia kwamba wote mtafanana mawazo na mitazamo humu utakutana na kila aina ya akili so ni vyema kujua jinsi ya ku-control vidole vyako kwamba kile unachokiandika hakiwakwazi wengine?je huyu uliyemwambia acha ujinga mfano ukajua kumbe ni baba yako mdogo au mjomba'ako aliyewahi kukuchangia ada kipindi unasoma utajisikiaje?
Mf:hapo juu umeomba kukaribishwa,kwanini usingemuandikia Mello PM huko akukaribishe mpaka kuja hapa jukwaani kutaka members wakukaribishe?huoni na wewe umefanya kutania watu coz sisi siyo wamiliki wa JamiiForums na hakuna aliyekutukana?
Kwa ulichokijibu hapa kutokana na utani uliotaniwa hapo juu obviously wewe siyo mgeni ni mmoja wapo wa wale member wakorofi waliokula life BAN umeamua urejee kwa I'd nyengine na bado ukiwa hujajifunza kutokana na makosa yako.