Naomba kujuzwa

Rahma2

Member
Feb 24, 2013
40
8
Naomba kwa anaye jua anijuze tafadhari, Viambatanisho katika form ya mkopo wa elimu ya juu, je nikiambatanisha kopi ya kitambulisho cha mpiga kura ya mdhamini wangu, nitatakiwa pia kuambatanisha nakala ya nyaraka kama barua ya mtendaji, milki ya ardhi na kopi ya bima?
Nisaidieni!
 
Back
Top Bottom