Naomba kujuzwa

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
1
wanajamii wenzangu naombeni msaada wenu katika hili, kuna ndugu yangu wa kiume hii ni mara ya nne mfululizo anapata wet dreams, so anaogopa sana kwa sababu haijawahi kumtokea kabisa. kaniomba ushauri lakini nimeshindwa cha kumshauri so naombeni wataalam wanisaidie je hilo ni tatizo?
 
Wetdreams ni kawaida,na siyo tatizo,hasa kwa wanao balehe,ni jambo tu la kawaida kabisa,asiogope
 
Back
Top Bottom