matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,276
- 14,511
Asante kamandaIkiwa option ni sekunde 30 tu jaribu YouCut sasa.
Samahani tumia YouCut itakuonesha ufanisi zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kamandaIkiwa option ni sekunde 30 tu jaribu YouCut sasa.
Samahani tumia YouCut itakuonesha ufanisi zaidi.
Iko Bomba sana ila naona napewa limit ya 30seconds tu. Unlimited hadi ninunue.Ikiwa option ni sekunde 30 tu jaribu YouCut sasa.
Samahani tumia YouCut itakuonesha ufanisi zaidi.
Professor,Iko Bomba sana ila naona napewa limit ya 30seconds tu. Unlimited hadi ninunue.
Sijaelewa, tafadhari badili namna ya uwasilishaji andiko lako.Kwa mwenye Idea ya video editing interview zinakuaje?maana nimeangalia google ni maswali ya kawaida hayapo technical sana nami sio mzoefu sana kwenye editing.Ntakua na Interview kwa njia ya Zoom kesho kutwa.Kwa mwenye uzoefu anisaidie.
Shukran
Kwa jinsi nilivyomuelewa ni kuwa kesho kutwa anakwenda kufanya interview kwa ajili ya kupata kazi ya video editing kwenye kampuni ya zoom. Sasa anahitaji kujua ni maswali gani anaweza kuulizwa kwenye hiyo interview ili aweze kujiandaa maana yeye siyo mzoefu sana kwenye video editing.Sijaelewa, tafadhari badili namna ya uwasilishaji andiko lako.
Ninahitaji tips kujua ni maswali gan naweza kukutana nayo Interview ni kupitia Zoom.Nimegoogle majibu yao sio technical sana.Walinipa kazi ya ku edit raw footage nikafaulu Sasa ni oral interview nahitaji kujua maswali technical ninayoweza kukutana nayo.Kwa jinsi nilivyomuelewa ni kuwa kesho kutwa anakwenda kufanya interview kwa ajili ya kupata kazi ya video editing kwenye kampuni ya zoom. Sasa anahitaji kujua ni maswali gani anaweza kuulizwa kwenye hiyo interview ili aweze kujiandaa maana yeye siyo mzoefu sana kwenye video editing.
Sijaelewa, tafadhari badili namna ya uwasilishaji andiko lako.
Ninahitaji tips kujua ni maswali gan naweza kukutana nayo Interview ni kupitia Zoom.Nimegoogle majibu yao sio technical sana.Walinipa kazi ya ku edit raw footage nikafaulu Sasa ni oral interview nahitaji kujua maswali technical ninayoweza kukutana nayo.Kwa jinsi nilivyomuelewa ni kuwa kesho kutwa anakwenda kufanya interview kwa ajili ya kupata kazi ya video editing kwenye kampuni ya zoom. Sasa anahitaji kujua ni maswali gani anaweza kuulizwa kwenye hiyo interview ili aweze kujiandaa maana yeye siyo mzoefu sana kwenye video editing.
Mkuu, kwa kweli hapo sifahamu. Ila nadhani ukiwa una general idea ya video editing ni fresh tu maana hawawezi kukuuliza kitu kilicho nje ya hapo.Ninahitaji tips kujua ni maswali gan naweza kukutana nayo Interview ni kupitia Zoom.Nimegoogle majibu yao sio technical sana.Walinipa kazi ya ku edit raw footage nikafaulu Sasa ni oral interview nahitaji kujua maswali technical ninayoweza kukutana nayo.
Poa poa mkuuMkuu, kwa kweli hapo sifahamu. Ila nadhani ukiwa una general idea ya video editing ni fresh tu maana hawawezi kukuuliza kitu kilicho nje ya hapo.
Ngoja wengine waje kukupa mwonhozo zaidi.
poa Poa mkuuMkuu, kwa kweli hapo sifahamu. Ila nadhani ukiwa una general idea ya video editing ni fresh tu maana hawawezi kukuuliza kitu kilicho nje ya hapo.
Ngoja wengine waje kukupa mwonhozo zaidi.
Oke Stephen, umeeleza vyema.Kwa jinsi nilivyomuelewa ni kuwa kesho kutwa anakwenda kufanya interview kwa ajili ya kupata kazi ya video editing kwenye kampuni ya zoom. Sasa anahitaji kujua ni maswali gani anaweza kuulizwa kwenye hiyo interview ili aweze kujiandaa maana yeye siyo mzoefu sana kwenye video editing.
Thanks bro ubarikiweOke Stephen, umeeleza vyema.
kabwigwa endapo practical interview ulifanya masuala ya raw! basi oral tegemea masuala mfano ya;-
• Maudhui yapi unapendelea zaidi kufanyia editing? | Unaweza kuzalisha video kwa wingi au uchache wa bajeti?
• Muda gani unaweza fanyia kazi ya aina fulani? | Kazi ulizowahi kufanya, ainisha.
• Nini maana ya VFX? | Ultra HD ni nini?
• 2D na 3D utendaji wake upo vipi? | Video ya aspect ipi inafaa kutumika katika runinga?
Maswali ni mengi hakika, kikubwa hayatoki nje ya field.
Ninakushukuru mkurugenzi Kwa kujitoa UJINGA. Asante sana.Professor,
Jiongeze kuwa na ubunifu ndani yako, ambatanisho chini utaona kitufe chenye chanya (Plus +) bofya hicho kuongeza maudhui yako yaishinde sekunde 30.
View attachment 1692741
BeginnerNataka nijifunze ku-edit video kwa ajili ya youtube.
Content yenyewe nakuwa nakaa na kuelezea kitu muda mrefu. Nadhani hapa nahitaji kitu simple tu.
Baada ya Corona kuisha, ntaanza adventures, nataka niwe narecord na kuzirusha youtube. Sasa hapa nadhani nitahijaji kitu poa zaidi.
Programs huwa mnatumia?
Iwe simple to use and easy to learn.
Nataka nijifunze kwa miezi 6.
So far nazifahamu Final Cut Pro na Adobe Premier Pro.
NB: ukiitaja programs elezea kuhusu mazuri na mapungufu yake.