Naomba kujuzwa uwanja wa soka maeneo ya Mbezi Africana mwenye kujua

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,800
11,332
Habari wadau

Ninaomba mwenye kujua uwanja wa kuchezea mpira maeneo ya mbezi africana 'ambao upo active' watu wanakipiga kila siku jioni. Mimi ni mgeni huku, na ni mdau wa soka. Nina mpango wa kuhamia huko hivi karibuni. Msaada wenu tafadhali. Shukrani zangu!
 
Back
Top Bottom