Naomba kujuzwa utaratibu wa kusafirisha bidhaa za chakula nje ya nchi kupitia airport

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Habarini,

Nikitaka kusafirisha bidhaa za kula kama karanga na ubuyu kupitia airport.

Natakaiwa nipate vibali gani wandugu?

Asanteni.
 
Ukitaka kusafirisha bidhaa za kilimo unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo

1. Phytosanitary certificate kutoka wizara ya kilimo
2. Certificate of origin kutoka Tanzania Chamber of Commerce
Kuna vitu vingine vidogo kama TRA Customs documentation
Ukihitaji msaada wa vitu vyote hivyo nitakusaidia.
Whatssapp +255624004050

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hvo vyote garama yake ikoje nanivibali vyamudagani nakuvipata inachukua mudagani
 
Back
Top Bottom