Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata vibali kwa ajili ya kusambaza dawa ya asili ya kisukari

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Naomba kuuliza hapa bongo ukitaka kuuza dawa ya miti shamba inayotibu magonjwa sugu unapaswa umuone nani na vibali gani hasa unapaswa uwe navyo.

Maana hapa nilipo kuna dawa ya kisukari kuna mtaalam wangu kijana msomi kaigundua sasa nawaza namna ya kuanza kuibrand hapa bongo nk.

Karibu kama unajua utaratibu.
 
gawa kwanza buree pata wagonjwa KADHAA wanufaike HAOO n rahisi KWENDA nao mamlaka HUSIKA ukasaidika hata anaesaini vibali usishangae akaomba atumie na yeye
 
Brother tushaifanyia research kwa wagonjwa na ndani ya miezi 3 mgonjwa anapona kabisa. Sasa tunaomba muongozo hapa najua wapo wataalamu mbalimbali watasaidia.
 
Zipo dawa hizo nyingi tu ila ni mitishamba inayotibu kwa namna isiyo ya kisayansi. Nyingi ni mazingaombwe. Itabidi ithibitishwe kisayansi.
 
Mama yangu yuko Hoi kwa ugonjwa huo, pia tatizo la kisukari ni ugonjwa wa kurithi, hata mimi mama yangu akipona nitakuletea wateja kibao. Toa bei na wapi unapatikana, au hata no ya cm
Naomba kuuliza hapa bongo ukitaka kuuza dawa ya miti shamba inayotibu magonjwa sugu unapaswa umuone nani na vibali gani hasa unapaswa uwe navyo.

Maana hapa nilipo kuna dawa ya kisukari kuna mtaalam wangu kijana msomi kaigundua sasa nawaza namna ya kuanza kuibrand hapa bongo nk

Karibu kama unajua utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti wowote ili ukubalike ni lazima uwe umetumia mamilioni ya fedha kwanza. Sasa we umetafitia watu 3 kwa miezi yako 3 huna hata historia ya mgonjwa kagundua lini kuwa na ugonjwa tajwa. Huna hata viambatanisho kuonesha kuwa dawa yako inatokana na mti gani, umepandwa lini na unaota kwa miaka ngapi kabla hujaugema. Man, nenda tafuta kwanza pesa ya utafiti ndipo uje kutangaza hiyo dawa.
Hata ukienda huko kwa wenye kutoa kibali, huwezi kipata kwa kuwa utafiti wako ni wa mzee mangungu hauna data yeyote ya kufaa. Kama ni ya kweli nadhani lazima uwekewe ulinzi mabeberu wasikuibe au wasikupoteze ghafla kwani wao ndo wagonjwa zaidi yetu.
 
Naomba msaada wako wa mawazo nini tufanye.
 
Tafuta kwanza NGO au Kampuni inayowajali watu (Jamii). Itakupa msaada wa kifedha baada ya kupresent andiko lako kwao, wakalisoma, wakalielewa na kukuletea watu/wagonjwa ukawaponyesha. Wao ndio watakutafutia kibali.
Kuhusu kupoteza utaalam wako usiogope kwani utaandikiana nao kuhusu hifadhi ya uvumbuzi wako kisheria
 
Sukari yangu ilikuwa ikifika 33. Siku moja baadaye ikawa hiyo unayoona hapo nilipoanza kutumia tiba mbadala (18.3). Ilirudi normal baada ya wiki moja. Nilitumia dawa kwa mara ya kwanza mwezi Juni mwaka jana. Hiyo picha ya pili ni jana 21 Feb 2020 alfajiri. Sukari inapona ndugu, mimi si mganga ila naleta kwenu ushuhuda tu kusaidia watu. Utapeli umekuwa mwingi mno.

Pia elewa kuwa sichagui chakula, naishi maisha ya kawaida kabisa. Tangu nianze kutumia dawa sikuwahi kufuata masharti ya mlo.
20200222_111749.jpg
20200221_065643.jpg

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kajisajili Baraza la Tiba Mbadala.

Then Nenda COSOTA kasajili Patent ( Uvumbuzi ) Wako.

Baada ya hapo fika TMDA ( TFDA/TBS ) upate KIBALI.

Halafu Nenda BRELA halafu malizia na HALMASHAURI.

ANZA KAZI
 
Wauzaji wa dawa wengi wao matapeli na dawa zao zinaua figo, ndo maana watu wengi Wana matatizo ya figo sababu wengi ni matapeli mim Nina ushahid watu figo zao zilizokufa, maisha ya dialysis sio mazuri
 
Sukari yangu ilikuwa ikifika 33. Siku moja baadaye ikawa hiyo unayoona hapo nilipoanza kutumia tiba mbadala (18.3). Ilirudi normal baada ya wiki moja. Nilitumia dawa kwa mara ya kwanza mwezi Juni mwaka jana. Hiyo picha ya pili ni jana 21 Feb 2020 alfajiri. Sukari inapona ndugu, mimi si mganga ila naleta kwenu ushuhuda tu kusaidia watu. Utapeli umekuwa mwingi mno.

Pia elewa kuwa sichagui chakula, naishi maisha ya kawaida kabisa. Tangu nianze kutumia dawa sikuwahi kufuata masharti ya mlo.View attachment 1365890View attachment 1365891

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Nilikutumia private massage ,mwaka Jana MWEZI Wa saba hukujibu mpaka leo
 
Huu uzi umekaa Ki tangazo la biashara hivi, halafu ukaja ukaingiliwa na wafanyabiashara. Watu wanatumia afya za Watu kuzifanyia biashara, utapeli mwiiingi.
 
Sukari yangu ilikuwa ikifika 33. Siku moja baadaye ikawa hiyo unayoona hapo nilipoanza kutumia tiba mbadala (18.3). Ilirudi normal baada ya wiki moja. Nilitumia dawa kwa mara ya kwanza mwezi Juni mwaka jana. Hiyo picha ya pili ni jana 21 Feb 2020 alfajiri. Sukari inapona ndugu, mimi si mganga ila naleta kwenu ushuhuda tu kusaidia watu. Utapeli umekuwa mwingi mno.

Pia elewa kuwa sichagui chakula, naishi maisha ya kawaida kabisa. Tangu nianze kutumia dawa sikuwahi kufuata masharti ya mlo.View attachment 1365890View attachment 1365891

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Umetumia dawa gani?
 
Umetumia dawa gani?
Huu uzi umekaa Ki tangazo la biashara hivi, halafu ukaja ukaingiliwa na wafanyabiashara. Watu wanatumia afya za Watu kuzifanyia biashara, utapeli mwiiingi.
Mkuu fuatilia thread zangu. Mimi sio muuza madawa bali niliona ni vema kuwashirikisha wengine wenye tatizo kama lililonikumba. Hivyo mkuu kama unadhani kuna utapeli umekosea sana kwangu mimi.

Hapo ni day 3 tangu nianze kutumia dawa.
20200318_072529.jpg

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mkuu fuatilia thread zangu. Mimi sio muuza madawa bali niliona ni vema kuwashirikisha wengine wenye tatizo kama lililonikumba. Hivyo mkuu kama unadhani kuna utapeli umekosea sana kwangu mimi.

Hapo ni day 3 tangu nianze kutumia dawa.View attachment 1391578

Naomba unisaidie namna ya kuipata hiyo dawa tafadhali. Naamini una nia njema kutaka kusaidia na wengine wenye tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom