Mtalaam nakubali najua hela ya kibongo iko juu kidogo so ada kwa smster kwenye ngapi na vip GPA inayotakiwa ndgMkuu mi nipo makerere kwa level na course tofauti na hiyo yako,,ila kwa vyuo vya ukanda wetu hakuna complications, kama unaomba hapa home tu...unaingia kwenye website ya chuo unafanya applications, kuna madogo wa bongo hapa wanapiga bachelor zao japo sio wengi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ada inategemea na course na kweli hela yetu ipo juu...hostel karibu na chuo nnapokaa mim ni laki 7 kwa semester, kitu kama mia 4 hivi ya bongo! Nafikir pamoja na ada ukiwa na 2m kwa mwaka unaweza soma, nje ya gharama za chakula na nauli za kwenda na kurudi! Ila ukiingia kwenye web ya chuo unapata gharama halisi za kila kozi..kama ukija makerere tutafutane mkuu, currently, nipo bongoland kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Laiv mdau shukkran sana Wa kwetuKaribu sana kiongozi, hatuwezi kwenda ulaya, bas hata hapa jirani kubadlisha mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app