Naomba kujuzwa ukweli kuhusu kitabu cha Uchawi wa Mchungaji Stephano

jiwe gizani

JF-Expert Member
May 25, 2021
380
506
Kuna kitabu kimoja hivi kilitikisa sana miaka ya nyuma kinaelezea Uchawi wa Mchungaji Stephano,

Wakuu hivi hii story ni ya kweli?

Na huyo mchungaji alishawahi kuwepo?
 
@Uchawi wa mchungaji Stephano

Anakwambia ukiona mtu anauza kitu flan Kama machinga alafu ukawa unamwita alafu asikii na unaamini anakusikia achana nae huyo kabeba nyama za watu anapeleka zinapotakiwa.

Nyingine sijui mtu unamuona kabeba kioo kikubwa Yan unaanza we mwenyewe kumpisha Mana yeye ndo anakuamuru umpishe upande ipi kwa kuelekeza kidole chake nawewe unapisha haraka ukijua unaogopa utagusa kioo kumbe wao hawaruhusi kugusana na mtu wakiwa wamebeba nyama zao ndo Mana unaona huo Hali.

Nyingine ukiwa njiapanda mara mkaanza kubishana na mwenzio kuwa muende njia hii mwenzio anasema tupite njia Ile ilhali mnaenda sehemu Basi jua Kati yenu Kuna mmoja ameonwa na mtu Alie msukule ambaye anamjua Kati yenu anakuita.

Eti ukipita makaburini ukaona Kama mchanga umekupiga machoni Basi ujue marehemu amekuona na anakuita Ila wewe husikii tuu.

Nilikinunua sh 3,000/= Kama sio 5,000/= hiki kitabu japo nakumbuka sikukimaliza nasijui kiliendaga wap aisee.

Mie n mhanga wa haya mastori aisee
Credit aldeo
 
Noma sana kile kitabu hata sijui kikiendaga wap aisee n kizuri balaah
 
uchawi haupo
 
Back
Top Bottom