Naomba kujuzwa uhusiano wa uvimbe kwenye kizazi na tumbo kuwa kubwa kwa mjamzito

nsalu

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,109
1,109
Naomba kuuliza wataalamu Kuna Uhusiano gani Kati ya uvimbe kwenye kizazi na tumbo kuwa Kubwa kama mjamzito?
 
Uvimbe kwenye kizazi hutokana mara nyingi na uwepo wa Ovarian Cyst kwa mwanamke au Cancer ya kizazi husababisha kuwepo kwa Uvimbe ambao hukua kadiri muda unavyosonga..!

Uvimbe huu huongezeka size na pia huwezi kuonekana kama mimba kabisa japo mimba ndogo. So ni jambo la kawaida mara nyingi uvimbe huu huondolewa kwa Operation.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom