Naomba kujuzwa tofauti ya Vitz Rs na Vitz Clavia

Balungi

JF-Expert Member
May 25, 2011
229
151
Naombeni tofauti ya aina hizo mbili za vitz tafadhali, yaani ubora wake na udhaifu na ipi ni mzuri kuliko nyingine.

1591257356206.png

Vitz Rs

1591257424911.png

Vitz Clavia
 
Nina gari kadhaa ila Nina Vitz old model nimeapa sitoiuza. Kinakaaga home mwezi tunapasha tu injini vigumu sana

Wanasema kina nafasi ndogo sana kamebanana. Wewe huwa hakakupi tabu?

Halafu huonagi aibu kukaendesha watu wanakuona maana shape yake mbaya. Afadhali ya passo
 
Wanasema kina nafasi ndogo sana kamebanana. Wewe huwa hakakupi tabu?

Halafu huonagi aibu kukaendesha watu wanakuona maana shape yake mbaya. Afadhali ya passo
Nafasi ndani ni kubwa tu. Nina gari nyingi mzee so sioni aibu wala nini ukitaka nije na la bei mbaya nakuja nalo na ukitaka nije na la bei cheap nakuja nalo. Hii Vitz nilinunua kupeleka watoto shule ila ninaiheshimu sana. Ni gari jiwe kuliko Passo na IST
 
Wanasema kina nafasi ndogo sana kamebanana. Wewe huwa hakakupi tabu?

Halafu huonagi aibu kukaendesha watu wanakuona maana shape yake mbaya. Afadhali ya passo
Watu wanaoishi maisha fake huwa hamjifichi
 
Wanasema kina nafasi ndogo sana kamebanana. Wewe huwa hakakupi tabu?

Halafu huonagi aibu kukaendesha watu wanakuona maana shape yake mbaya. Afadhali ya Passo
Yaani we unaeipa thaman passo mbele ya Vits ndo unapaswa uone aibu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom