Naomba kujuzwa tofauti ya fundi sanifu vifaa tiba na mhandisi vifaa tiba

Titus3652

Senior Member
Mar 10, 2019
106
136
Habari za muda huu wakuu

Ninaomba kujua utofauti kati ya fundi sanifu vifaa tiba na mhandisi vifaa tiba maana kwenye ajira zilizotoka nimeona wameweka watu wa aina hiyo sasa sijajua utofauti wake ni nini?
 
Kwa experience ya haraka haraka

Fundi sanjfu ni diploma level

Mhandisi ni degree level

Nadhani wanaongelea Biomedical course hapo, kwa level hizo mbili!
 
Habari za muda huu wakuu

Ninaomba kujua utofauti kati ya fundi sanifu vifaa tiba na mhandisi vifaa tiba maana kwenye ajira zilizotoka nimeona wameweka watu wa aina hiyo sasa sijajua utofauti wake ni nini?
Fundi sanifu vifaa tiba -Diploma in Biomedical Engineering

Mhandisi vifaa tiba-Bachelor of Engineering in Biomedical Engineering.
 
Back
Top Bottom