Random Access Memory(RAM) ni temporary storage inayotumika kutunza data pindi zinachakatwa na CPU(Central Processing Unit).Ndugu nlkuwa naomba tofauti kati ya memory na storage ....
App kwenye Secondary storage ndio linakuwepo lote full size lakini kwenye RAM huwa zinakwenda data muhimu kwa wakati huo kwa ajili ya kuchakatwa kutokana na size yake haiwezi kubeba program zote za computer kwa wakati mmoja.Halafu kwa nn app moja kwenye RAM na storage ya simu moja inakuwa na MB tofauti..
pamoja mkuuNimekupata sana mkuu
Ujajibu swali taja BASIC FUNCTION OF RAM ?Random Access Memory(RAM) ni temporary storage inayotumika kutunza data pindi zinachakatwa na CPU(Central Processing Unit).
kwa kawaida storage hii huwa ndogo lakini yenye speed kubwa, hivyo data huhama kutoka katika CPU kwenda kwenye RAM au vice versa kwa muda mfupi.
Secondary storage hizi kwa kawaida huwa kubwa lakini speed yake huwa ndogo ukilinganisha na Main memory(RAM). kwa kawaida hutumika kutunza program pamoja na data zako zingine.
Na mara tuu pale zinapohitajika basi data hizi huchukuliwa na kupelekwa kwenye main memory kwa ajili ya kuchakatwa.
App kwenye Secondary storage ndio linakuwepo lote full size lakini kwenye RAM huwa zinakwenda data muhimu kwa wakati huo kwa ajili ya kuchakatwa kutokana na size yake haiwezi kubeba program zote za computer kwa wakati mmoja.
Na hivyo zikiitajika data zisizokuwepo kwenye RAM basi kuna mechanism hufanyika ya kuondoa baadhi ya data na kisha kuleta zinazohitajika kuchakatwa kwa wakati huo.
Kwa kifupi RAM inabeba data zinazochakatwa wakati huo na Storage inabeba program nzima ndio sababu zinatofautiana size.
acha uvivu wa kusoma mbona line ya kwanza kabisa nimeelezaUjajibu swali taja BASIC FUNCTION OF RAM ?
Storage pia ni memory, chochote kinachohifadhi kumbukumbu ni memory,Ndugu nlkuwa naomba tofauti kati ya memory na storage.
Halafu kwa nn App moja kwenye RAM na storage ya simu moja inakuwa na MB tofauti.
Natanguliza shukran wakuu