Naomba kujuzwa tiba ya Mapafu yaliyoharibika sana

Tumia kinywaji cha herbs (like herbal tea), chenye mvuke mwingi (kikiwa cha moto sana). Then jifunze deep breathing kwa kulazimisha. Pumulia mianzi ya pua (close your mouth all the time). Fresh vegetables and fruits will help bring quick healing, too.
 
Wakuu habarini za muda huu,

Naomba msaada wenu juu ya tiba ya mapafu yaliyoharibika sana,

Natanguliza shukrani za dhati.

Haya ni maneno ambayo watoa huduma ya afya huweza kuyatumia ili kufikisha ujumbe fulani kwa mjongwa lakini hayabebi uhalisia wa ugonjwa husika.

Yaani:
Asili ya tatizo
Msingi wa tatizo
Kiasi cha tatizo

Hivyo, ni vyema kufika kwa watoa huduma ya afya ili kupata historia ya tatizo, jinsi linavyokuathiri na suluhisho liweje.

Ili kupata maelezo ya kuanzia, ni vyema kueleza machache:
Tatizo lilianzaje?
Unapata dalili gani?
Sehemu ipi ina shida zaidi?
Ukifanya nini tatizo huongezeka/hupungua?
Lina muda gani?
Ulishawahi kutibiwa/vipimo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom