Naomba kujuzwa taratibu za kupata record ya mawasiliano yangu toka mtandao wa tigo

Utaratibu no kama ifuatavyo:-
1: Nawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni (si chini ya sec 20) au tumia kitakasa mikono.
2: Epuka mambo yafuatayo:-
A:Kujishika usoni
B:Kushikana mikono na watu.
C:Kukaa sehemu zenye mikusanyiko.
3:Baki nyumbani kama huna safari ya lazima
4:Endapo utalazimika kutoka nyumbani vaa barakoa.

5:Kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako kama amekosea msamehe na mpende zaidi kama ana mchepuko ataacha tu.
Habari nahitaji pata mawasiliano yangu ya nyuma kutoka mtandao wa tigo, kwa namba fulani tu, utaratibu ukoje na gharama yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha gongana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu no kama ifuatavyo:-
1: Nawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni (si chini ya sec 20) au tumia kitakasa mikono.
2: Epuka mambo yafuatayo:-
A:Kujishika usoni
B:Kushikana mikono na watu.
C:Kukaa sehemu zenye mikusanyiko.
3:Baki nyumbani kama huna safari ya lazima
4:Endapo utalazimika kutoka nyumbani vaa barakoa.

5:Kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako kama amekosea msamehe na mpende zaidi kama ana mchepuko ataacha tu.

Aiseee msalimie sana Razack mkuu. 🤣
 
Mimi niliibiwa simu yangu ya tochi na ilikua na muda wa maongezi dk 300+ na SMS zaidi ya 1000

Nilipo renew no yangu nikakuta zimebaki dk kama 20 hivi na sms zimepungua

Nikaenda ofisi za Vodacom kuomba nipewe record za simu zilizopigwa na sms zilizotumwa ili nimbaini mwizi wangu

Kudadeki majibu niliopewa niliishia kuwatukana nikaona wanataka kuniitia polisi nikasepa zangu

Yaani line yangu vitambulisho kuwa ni yangu ninavyo halafu wananiambia eti haiwezekani

Sijui labda jaribu huko uone
 
Back
Top Bottom