Naomba kujuzwa taratibu za kuoa wasukuma

Kwao cash siyo deal bali ng'ombe, chukua kiasi fulani cha cash ufike kwa wazazi wake na hapo unaweza kuanza kukaa nae kama mkeo ila kwa mahari andaa .
Angalizo: kwao kipaumbele syo kuishi mpaka kifo kiwatenge/uzeeni. Ukizngua kidogo ndoa inatetereka na pia anaishi kwa tahadhari kubwa mpaka kuja kuachana anakuwa na mtaji wake kukuzidi hata mara dufu. Ishi kufuata msingi wa imani yako, ishini na wake zenu kwa hakili.
Mkuu unaniogopesha ngoja nikate mawasiliano na huyu manzi wa kisukuma
 
Tafuta carina T.i 3, taa za mbele za alteza na taa za pikipiki ya boksa (za nyuma). Ukimaliza wapelekee wakwe hao mwanza, unarudi na mke
 
Inawezekana hata mchumba hujapata unaanza hesabu kama za kujenga nyumba, maana watu huwa wanaanza kujengea kwenye karatasi. Pata mchumba kwanza ndio atakwambia taratibu za kwao maana nafikiri hazifanani kwa kila kitu, lazima kuna sehemu wanapishana kidogo.
 
Tunakupokea, tunathanisha laki moja na ng'ombe mmoja, so ukitoa milioni moja tuna sema umetoa ng'ombe kumi za hela, ila Kama ni ngombe real tunasema ng'ombe Wa kutembea. You are warmly welcome
Ng'ombe sina ila Nina cash
 
Kumbe umesha piga hadi K inawaka moto sasa unalipia nini mkuu? au alikukopesha?
Kuhusu gem nampiga kweli had anasema huku chin kunawaka moto wakat mwingine hanipi kabsaa
Nlijua ni gharama Sana kumbe nikiwa na million 4 zinatosha
 
Lakini yote tunazunguka, huwa wanakwenda wazee a.k.a washenga kuomba ridhaa ya kijana wao kuzaliwa pale, hapo ndio wanapewa utaratibu mzima ikiwa ni pamoja na vinavyotakiwa kupelekwa siku ya mahari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom