Naomba kujuzwa tafadhali

anoobam

Member
Oct 22, 2016
62
38
Habarin ndugu zangu!!!
Mim n mwanafunzi wa moja wapo ya kozi za afya ambazo ni MD,PHARM,NURSING & MED LAB ninachoomb kufahamishw ni kwann mishahara kati ya medical lab&nursing ni tofauti na ule wa pharmacy ingawaje wote wanasoma miaka sawa na pia tukija kwenye suala la kazini kati ya nurses na pharmacist wapi ambao wanafnya kazi nyingi kuliko wengine,,, msaada kwa ilo ndgu zanguni
 
Subili waje wataalam wa mambo hayo lakini nahis wamelala labda kesho asbuhi utawaona wengi tu
 
Habarin ndugu zangu!!!
Mim n mwanafunzi wa moja wapo ya kozi za afya ambazo ni MD,PHARM,NURSING & MED LAB ninachoomb kufahamishw ni kwann mishahara kati ya medical lab&nursing ni tofauti na ule wa pharmacy ingawaje wote wanasoma miaka sawa na pia tukija kwenye suala la kazini kati ya nurses na pharmacist wapi ambao wanafnya kazi nyingi kuliko wengine,,, msaada kwa ilo ndgu zanguni
PHARMACIST NI TAJIRI KULIKO NURSES
 
Back
Top Bottom