Naomba kujuzwa shule inayotoa Elimu ya Watu wenye mahitaji Maalumu Mwanza

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,882
4,508
Habari wakuu!

Naomba kujua shule ya serikali nzuri ya msingi inayofundisha wanafunzi wenye ulemalevu wa akili Mkoa wa Mwanza. Ikiwa ya boarding itapendeza zaidi.

Asanteni.
 
Ooh asante sana mkuu.Bugando s/m wana bweni?
Hizi shule nyingi hazina mabweni especially kwa kitengo Cha walemavu wa akili (Intellectual Impairment) ambazo nyingi zenye mabweni Ni Hawa wa Hearing Impairment. Kwahiyo hapo ukimpeleka mtoto itabidi utafute mtu wa kumpeleka asubuhi na saa Saba mchana kumchukua kwa sabab hawasomi siku nzima. Kundi hili Wana changamoto sana katika malezi wanapokua shuleni na ndyo maana hawapewi mda mwingi wa kufundishwa darasani

Za bweni zipo chache jaribu kuulizia au uonane na Afisa elimu, Elimu Maalum atakuambia katika eneo lake Kuna shule gani za walemavu wa akili ambazo Zina hostel.
 
Kwa Mwanza kuna shule inaitwa Huruma ipo maeneo ya nyasaka msumbiji. Sijui kama wana huduma ya malazi. Piga simu ya mkurugenzi 0715529222.
 
Asante
Hizi shule nyingi hazina mabweni especially kwa kitengo Cha walemavu wa akili (Intellectual Impairment) ambazo nyingi zenye mabweni Ni Hawa wa Hearing Impairment. Kwahiyo hapo ukimpeleka mtoto itabidi utafute mtu wa kumpeleka asubuhi na saa Saba mchana kumchukua kwa sabab hawasomi siku nzima. Kundi hili Wana changamoto sana katika malezi wanapokua shuleni na ndyo maana hawapewi mda mwingi wa kufundishwa darasani

Za bweni zipo chache jaribu kuulizia au uonane na Afisa elimu, Elimu Maalum atakuambia katika eneo lake Kuna shule gani za walemavu wa akili ambazo Zina hostel.
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom