Naomba kujuzwa shule bweni kwa level Kindergarten and primary

1st born

Member
Jan 4, 2021
8
3
Wakuu msaada naomba kufahamishwa shule ya bweni nzuri na salama kimalezi kwa mtoto wa miaka minne ndani ya mkoa DSM na Pwani, nina dharura inabidi mtoto akakae kwa mwaka moja

Natanguliza shukrani
 
Kwann huwa mnazaa watoto kama bado mna mambo mengi ya kufanya... when are you going to create bond between you and your child... kama upo bize kiasi cha kufikiria jambo la hatari kama hilo... Kisaikolojia mtoto wa miaka 4 bado anahitaji uangalizi mkubwa wa wazazi katika ukuaji na mabadiliko ya kimazingira plus tabia... wazaz wa kidigitali siku hiz wamekuwa wengi sana ... tabu tupu!
 
Jibu zuri

Huo ni unyanyasaji wa mtoto Bora umpeleke kituo cha kulelea watoto yatima ajue Hana mzazi
 
Kwann huwa mnazaa watoto kama bado mna mambo mengi ya kufanya... when are you going to create bond between you and your child... kama upo bize kiasi cha kufikiria jambo la hatari kama hilo... Kisaikolojia mtoto wa miaka 4 bado anahitaji uangalizi mkubwa wa wazazi katika ukuaji na mabadiliko ya kimazingira plus tabia... wazaz wa kidigitali siku hiz wamekuwa wengi sana ... tabu tupu!
Nafikiri maana ya neno dharura unaielewa ,jaribu kuwa na heshima kwa anaye kuheshimu.

Wakati ujao kama huelewi au huna kitu chanya kwa msaada ulioombwa nyamaza.
 
Pole mkuu huu mwitikio wa Wadau kuhusu kumpeleka Mtoto Boarding....ambao.umekukasirisha! ...ni kielelezo kuwa hiyo... Dharura yako iwe inezidi gharama za hasara ya malezi ya Aina hiyo.
 
Huyo wa miaka minne kwann usimpeleke hata kwa ndugu unayemuamini
 
Wakuu msaada naomba kufahamishwa shule ya bweni nzuri na salama kimalezi kwa mtoto wa miaka minne ndani ya mkoa DSM na Pwani, nina dharura inabidi mtoto akakae kwa mwaka moja

Natanguliza shukrani
Hili bomu unalotaka kutengeneza hapa halitakulipukia wewe tu litalipukia taifa kwa ujumla.
 
Pole mkuu huu mwitikio wa Wadau kuhusu kumpeleka Mtoto Boarding....ambao.umekukasirisha! ...ni kielelezo kuwa hiyo... Dharura yako iwe inezidi gharama za hasara ya malezi ya Aina hiyo.
Shukrani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom