Naomba kujuzwa sehemu wanayouza T-shirt kwa 5,000

Venus Tz

New Member
Oct 14, 2020
4
3
Wakuu Nahitaji Kuanza biashara ya Ku print T shirt ila kwa bahat mbaya bado sijajua sehemu wanapouza T shirt plain Zenye bei nafuu ambazo nikiprint Zitaweza kunipa faida...so nilikua naomba kujua kama kuna mtu anajua Sehemu yenye t shirt za 5000 angalu ili niweze kupata mzigo wa kutosha.

Msaada tafadhali
 
Mkuu mm nipo mkoani huku hivo sifahamu duka lolote linalouza t-shirt. Pia naomba kuuliza mashine ya kuprint t-shirt inaweza kuwa kiasi gani dukani na nimashine ya aina gani ni nzuri kwa kazi hiyo. Na je hizi mashine za kuprint t-shirt zinaweza kuprint mabango na vipeperushi ?
 
Back
Top Bottom