Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,014
- 2,231
Wakuu nawasalimu,
Mimi bwana tokea ka gari kangu kaingia hapa mjini Dar es Salaam sikuwahi badilisha tairi zake. Nilikwenda mkoani kama safari nne hivi na tairi ya mbele kushoto ikapata slow pancha. Fundi umesisizita nibadili tairi zote (nakubaliana na yeye kwani zimesha expire ).
Shida wakuu ni budget imebana. Budget yangu maximum ni laki na 20 (120,000) tu. Ni wapi karibu naweza pata tairi yenye unafuu kwenye quality ( naishii maeneo ya Victoria DSM) kwa budget yangu hii? Na jina ya tairi husika!
Size ni 205 , 65 , rim 15.
Natanguliza shukrani kwa michango yenu.