Naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata tairi za bei nafuu

Hakuna Good year ya bei hiyo ndugu na kama umeuziwa kwa bei hiyo basi tazama mwaka. Kuna wafanya biashara wengine wanakuwa na stock ya zamani wanauza kwa bei rahisi ili ziishe
 
Hakuna Good year ya bei hiyo ndugu na kama umeuziwa kwa bei hiyo basi tazama mwaka. Kuna wafanya biashara wengine wanakuwa na stock ya zamani wanauza kwa bei rahisi ili ziishe
Mkuu nimeshabadilisha mara tatu.kuhusu mwaka najua kuangalia wiki na mwaka iliyotengenezwa. Size ya tairi ni 195,65,15. Sehemu hiyo mwanzoni waliniuzia 180k.

Mara ya pili nikakuta ni 120k.Nikauliza vipi hii bei wakaniambia waliokuwa wakiendesha hiyo sehemu wamefurushwa so no uongozi mpya.Mwaka jana nimebadilisha tena maeneo ya Goba kwa bei hiyo iliwa ni pamoja na wheel balance
 
Mkuu nimeshabadilisha mara tatu.kuhusu mwaka najua kuangalia wiki na mwaka iliyotengenezwa. Size ya tairi ni 195,65,15. Sehemu hiyo mwanzoni waliniuzia 180k.Mara ya pili nikakuta ni 120k.Nikauliza vipi hii bei wakaniambia waliokuwa wakiendesha hiyo sehemu wamefurushwa so no uongozi mpya.Mwaka jana nimebadilisha tena maeneo ya Goba kwa bei hiyo iliwa ni pamoja na wheel balance
Unabadili tairi kila baada ya km ngapi? Au miaka mingapi?

Inaonekana kama unabadili kila mwaka? Au unabadili tairi mojamoja?
 
Back
Top Bottom