Naomba kujuzwa NGOs ambazo zinaweza kutoa fund kwa Miradi ya Elimu

HIBISCUS 80

JF-Expert Member
Jun 18, 2020
1,056
1,212
Habarini wadau wa JF

Naamini mnaendelea vema na shughuli za kila siku.

Nina wazo la mradi wa elimu ya sayansi kwa shule za sekondari (Physics, Chemistry na Biology) na sayansi kwa shule za msingi , wazo langu litasaidia Sana katika kuboresha elimu ya watoto wetu lakini naomba kujuzwa ni NGOs gani naweza kuwaandikia proposal na kuomba pesa ambayo itanisaidia ku fikia malengo ya mradi huo.

Ningependa kujuzwa mashirika hayo kwa hapa Tanzania hasa mashirika ya kimataifa. Sijaweza kutoa wazo langu hadharani kwa Sasa naamini mtanipa mwongozo mzuri.

Asanteni
 
amref international
 
Ngoja nikupe ukweli, hizo NGOs huwa hazitoi funds kwa yeyote yule, bali hutoa funds toka mkono wa kulia na kuweka mkono wa kushoto, halafu ule mkono wa kulia unaenda kuomba tena pesa kwa wasamaria wema kwa kuwahadaa kwamba wanasaidia jamii. Tumia akili na utagundua hili.
 
Back
Top Bottom