Naomba kujuzwa ngazi ya mshahara Diploma ya Marine Engineering?

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
14,626
2,000
Yaan Diploma ulipwe 1 M hapa Tz ? Embu usidanganye watu shekh ...
Yaani wewe ndo mjinga kabisa, huyo unayemuita wewe muongo imeonekana wewe ndo muongo. Taasisi nyingi tu za kiserikali na mashirika ya kiserikali dip wanapiga zaidi ya 1m. Next time usiwe mwepesi wa kumwambia mtu muongo wakati wewe hujui kitu.
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
4,980
2,000
Yaani wewe ndo mjinga kabisa, huyo unayemuita wewe muongo imeonekana wewe ndo muongo. Taasisi nyingi tu za kiserikali na mashirika ya kiserikali dip wanapiga zaidi ya 1m. Next time usiwe mwepesi wa kumwambia mtu muongo wakati wewe hujui kitu.
Kwanza ni vyema ukatengua neno lako ulilotaja "mjinga" .. neno uongo ni kinyumecha ukweli... ... Izo scale za TPA azilete tuone
 
Mohamedy cadinaly

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,230

Ndugu usimlaumu...hayo ni matatzo ya kuajiriwa na tamisemi ndio yanamsumbua
 
Mohamedy cadinaly

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,230
2,000
Kwanza ni vyema ukatengua neno lako ulilotaja "mjinga" .. neno uongo ni kinyumecha ukweli... ... Izo scale za TPA azilete tuone
Mkuu usiwe mbishi scale za taasisi za kiserikali huwazinalipa tofauti na serikali kuu na tamisemi...Taasisi zinakuwa na mishahara mikubwa zaid kwa sabb wenyewe wanamfumo ambao unawangizia hela zaid kutokana na activities wanazoziendesha. Tena kuna taasisi diploma anakula hadi 2M

mfano ktk afya nesi/mtu wa maabara au mfamasia wa ngazi ya diploma anayeajiriwa muhimbili analipwa scale kubwa kuliko wa tamisemi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom