Kwan whats up yenyewe inasemaje?jamani mwenye kujua namna kuweka gb whatsap au fm whatsap kwwnye simu ya oppo tafadhali anisaidie.
kila niki install inakataa
nime Allow lakini haikubali
kweli asee. Wanakuaga wambea sanaachana nayo tumia WhatsApp ya kawaida ninyi ndio tuki wa hide au tukidelete mnaona post zetu za bahat mbaya, tulia achana nayo ishagoma hiyo universe imeongea haitaki uwe na hiyo kitu
dah mi yakwangu ni oppo A93Mbona yangu inakubali( Oppo F1 plus) na nime-install majuzi tu ya kawaida pamoja na Gb zote zina run vizuri kabisa.....unatumia oppo ipi na ina run android vers. Ngap?
View attachment 1819173
oppo A93 android version 11Mbona yangu inakubali( Oppo F1 plus) na nime-install majuzi tu ya kawaida pamoja na Gb zote zina run vizuri kabisa.....unatumia oppo ipi na ina run android vers. Ngap?
View attachment 1819173