Naomba kujuzwa namna ya kuunganisha watumiaji wa Youtube wakati video ikiendelea

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani vinavyotakiwa ili nifanye zoezi hilo?,

Naunganisha na hili, simu yangu zamani nilikuwa naweza kuiunganisha na laptop yangu kwa njia ya bluetooth lkn kwa sasa haikubali kuna msg inaniambia hivi.
 
Angalia na picha hii

20210613_141128[1].jpg
 
Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani vinavyotakiwa ili nifanye zoezi hilo?,

Naunganisha na hili
simu yangu zamani nilikuwa naweza kuiunganisha na laptop yangu kwa njia ya bluetooth lkn kwa sasa haikubali kuna msg inaniambia hivi

A...
Kama unatumia simu hakuna kifaa cha ziada.
Nenda YouTube (kwenye channel yako)
BONYEZA alama ya ku upload video..
Utaona options tatu
1. Upload
2.live stream
3.post
Chukua live....
Kila kitu simple

B...
Kama unataka kutumia camera kubwa,mic za kanisa n.k
Utahitaji setup kidogo
Laptop, camera, progam ya kurusha live
 
Program ipi ndugu
 
Back
Top Bottom