Naomba kujuzwa namna ya kutrack laptop iliyoibiwa

Hata hiyo gps tracking board inatolewa tu. Watu wana-disassemble pc yote na kuuza kifaa kimoja kimoja. Pole sana kwa alieibiwa na Mungu amjalie apate pc nyingine na aongeze umakini zaidi kwenye kuilinda.
Daah, yaani kaka kama pale Machinga na Kkoo kwa Pasco unapata PC core i3 au 5 mpaka kwa Laki tano aisee, nahisi ndo michezo wanayofanya hawa watu.
 
Back
Top Bottom