Naomba kujuzwa namna ya kutambua jinsia ya mtoto katika hali hii

sumia

Member
Feb 12, 2015
35
8
Jamani najua humu Kuna wataalamu wengine naomba mnisaidie,

Nina mzunguko wa siku 28 ,nilisex siku ya 10 baada ya kuanza period yangu na nikapata mimba.

Je, hapo mtoto anaweza kuwa wa jinsia gani?
 
Jamani najua humu Kuna wataalamu wengine naomba mnisaidie,Nina mzunguko wa siku 28 ,nilisex siku ya 10 baada ya kumaliza period yangu na nikapata mimba,je Apo mtoto anaweza kuwa wa JINSIA gani
Wa kike
 
Tarajia kupata mtoto wa kike (nshafanya esabu za genetics)

Mathematically (probability)
Kupata wakike 50%
Kupata wa kiume 50%
 
Shettles explains that the male (Y) sperm is smaller, faster, and more short-lived than the female (X) sperm.

HESABU ZINAELEMEA KWA WAKIKE (ILA TEGEMEA LOLOTE)

Because of this, it is better for boy-desiring couples to have sex closest to the time when a woman's egg is released (ovulation). This way, the speedy male sperm could get to the egg sooner than the female one.
 
Ni wa Kiume! Maana hiyo ilikuwa ni siku ambayoo ovulation mzee mama. So kabao ka mzee baba kale Y sperm sababu kako faster sanaa bhasi ndo vile lakini pia kuna factors nyingine sio suala tu la speed.
 
Ni wa Kiumee...!! Maana hiyo ilikuwa ni siku ambayoo ovulation mzee mamaa... So kabao ka mzee baba kale Y sperm sababu kako faster sanaa bhasi ndo vile lakini pia kuna factors nyingine sio suala tu la speed.
Ovulation siku ya kumi?
 
Jamani najua humu Kuna wataalamu wengine naomba mnisaidie,Nina mzunguko wa siku 28 ,nilisex siku ya 10 baada ya kumaliza period yangu na nikapata mimba,je Apo mtoto anaweza kuwa wa JINSIA gani
Weka maelezo vizur

Umesema ulisex siku ya kumi baada ya kumaliza period... je? Uli bleed kwa muda wa siku ngapi yaan siku ya kwanza kubleed hadi ile ya mwisho ulipo maliza ni jumla ya siku ngapi ?

Then ndo tutakuja kwenye hizi siku kumi baada ya bleed tuone itaangukia wapi.
 
Nilikuwa period kwa siku nne na hizo siku kumi nimeanza kuhesabu tangu siku ya Kwanza naona damu
 
Jamani najua humu Kuna wataalamu wengine naomba mnisaidie,

Nina mzunguko wa siku 28 ,nilisex siku ya 10 baada ya kuanza period yangu na nikapata mimba.

Je, hapo mtoto anaweza kuwa wa jinsia gani?
Kadanye ultra sound, mimba ikifika miezi mitano watakwambia jinsia ya mwanao
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom