Naomba kujuzwa namna ya kurudisha mafaili yaliyopotea na kufanya partition katika Ubuntu

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,654
1,765
Wakuu habarini za weekend!

Samahani nimefanya installation ya UBUNTU na kuondoa wibdow 10 ila mafaili yangu yakiopo kwenye window 10 siyaoni, pia nimeshindwa kufanya partition katika UBUNTU.

Naombe msaada wa kurudisha mafaili yangu na kufanya partition.

Shukrani.
 
Hiyo ishu nishawahi tokewa nayo tkt urafi wangu wa kutaka kuona uzuri wa hiyo window ila sijui nilicheza mistake gani ile kuja kuwaka file zote holaaah!!! na partition zote zilifutika na kubaki mmoja kama pc mpya vile

Nilijaribu kila njia ila file sikufanikiwa kuzirudisha

Zinge potea kwenye window hizi za kinyabi 7/8/10 ningekupa kiboko moja ya kurecover hizo file ila Ubuntu nimenyosha mikono juu
 
Hiyo ishu nishawahi tokewa nayo tkt urafi wangu wa kutaka kuona uzuri wa hiyo window ila sijui nilicheza mistake gani ile kuja kuwaka file zote holaaah!!! na partition zote zilifutika na kubaki mmoja kama pc mpya vile....
Hahahaha kwa hiyo mkuu hakuna nyingine?
Basi nisaidie na kufanya partition.
 
Hiyo ishu nishawahi tokewa nayo tkt urafi wangu wa kutaka kuona uzuri wa hiyo window ila sijui nilicheza mistake gani ile kuja kuwaka file zote holaaah!!! na partition zote zilifutika na kubaki mmoja kama pc mpya vile...
Mkuu, mie nina window 8 na 10. Nisaidie nafanyaje kuyarudisha mafaili maana nimepoteza mafaili kadhaa kwenye pc zote 2.
 
Hahahaha kwa hiyo mkuu hakuna nyingine?
Basi nisaidie na kufanya partition.
Hata partition kwenye hiyo window ilinishinda kugawa

Nilichofanya nilichange window

Kugawa kwenye window hizi za kawaida fanya yafuatayo :

Right click kwenye this pc icon kwenye window 10 /8 au my computer kwenye window 7 then click》 manage 》Disk Management ndani ya dialog box iliyo funguka right click partition ilikutwa na majangaa
Click Shrick Volume 》 dialog box nyingine itafunguka tena

Humo sasa jaza kiasi cha size utakayo taka kugawa then click shrink
 
Mkuu, mie nina window 8 na 10. Nisaidie nafanyaje kuyarudisha mafaili maana nimepoteza mafaili kadhaa kwenye pc zote 2.
Download EaseUS Data Recover Wizard ila download kupitia torrent ili upate na key maana trial ya bila key wana limit kiasi cha size ya mafaili ya kurudisha uwezi kuzidi 1Gb nazani ila yenye key zake

Size yoyote ya file ulizo poteza hata kama zilikua Tb 20 zote zinarudi
 
Ubarikiwe mno ndugu. Inalipiwa online kwanza au ni free app?
 
Ubarikiwe mno ndugu. Inalipiwa online kwanza au ni free app?
Kama kakuambia udownload kwa torrent hakuna malipo mkuu, just install torrent then utakwenda kwenda aidha chrome or any uandike pirate
 
Ubarikiwe mno ndugu. Inalipiwa online kwanza au ni free app?
Torrent ni free ila ni kinyume cha sheria maana kule vitu vyote vinavyo lipiwa ziwe App , music album , movie kule ni bureeee Mb zako tu ila ukipitia google au browser nyingine kudownload utapewa app tu yenye masharti kwamba siku za kutumia free bila key ni 3 na limiti ya kurudisha files size isiyo zidi gb1

Baada ya hizo siku tatu kuisha #utalazimika kulipia
 
Hiyo ilinitokea mimi nikafuta hdd nzima bila kujua.
Ila baada ya kurudi windows nilitumia recuva kurudisha files japo zote hazifanyi kazi sababu nilitumia same disk kuricover.

Ubuntu sio simple kama windows inahitaji experience kidogo.
Ila mkuu ubuntu ni kama ios tu.
 
Torrent ni free ila ni kinyume cha sheria maana kule vitu vyote vinavyo lipiwa ziwe App , music album , movie kule ni bureeee Mb zako tu ila ukipitia google au browser nyingine kudownload utapewa app tu yenye masharti kwamba siku za kutumia free bila key ni 3 na limiti ya kurudisha files size isiyo zidi gb1

Baada ya hizo siku tatu kuisha #utalazimika kulipia
Mkuu me naomba somo kidogo kuhusu hyo torrent
 
Wakuu habarini za weekend!

Samahani nimefanya installation ya UBUNTU na kuondoa wibdow 10 ila mafaili yangu yakiopo kwenye window 10 siyaoni, pia nimeshindwa kufanya partition katika UBUNTU.

Naombe msaada wa kurudisha mafaili yangu na kufanya partition.

Shukrani.
Duh pole kama ni mgeni kabisa ungetafuta video kwanza za namna ya kufanya installation ya ubuntu halafu ndiyo uifanye. Au hapo kwenye windows ungetengeneza partition halafu ukaiingiza hapo ukawa na windows zote mbili halafu unachagua unayoitaka kuitumia usingepoteza mafaili yako. Pole sana wataalamu watakusaidia zaidi namna ya kufanya.
 
Back
Top Bottom