Naomba kujuzwa namna ya kurudisha account ya Yahoo

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,732
Nawasalimu nguli wa jukwaa hili.

Tatizo langu. Nina account ya mail yahoo. Password ninazo jina la account ninalo.

Nimeshindwa kusign in.. wananiuliza simu sijui ilipo...namba ya simu sijui hata ilipo..

Majina ya vyakula nilivyopenda utotoni sijui nilijaza nini.

Kwa mwenye kujua namna ya kujinasua. Msaada pls.
 
Kama security question umesahau, jaribu kujifanya kama umesahau password Kisha utacreate pass mpya na utatumiwa herufi caution kwa phone au email ulioongezaga kama alternative ya phone number mambo yatakuwa poa.
 
Back
Top Bottom