teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 136
Wadau najua jamiiforum ni kisima cha maarifa, hivyo hitaji langu litapatiwa ufumbuzi hapa hapa, kama kichwa cha somo mimi nahitaji kujua kama kuna app ambayo naweza kui install kwenye laptop na ikaweza kutumika kupiga simu.
Maana hata hivyo hii mashine ina sehemu ya kuchomeka line na ndiyo huwanaitumia kuweka bando la internent ni matumaini yangu kuwa inawezekana. Aina yake ni MicroSoft surfaceGo
7
Natanguliza shukran
Maana hata hivyo hii mashine ina sehemu ya kuchomeka line na ndiyo huwanaitumia kuweka bando la internent ni matumaini yangu kuwa inawezekana. Aina yake ni MicroSoft surfaceGo
7
Natanguliza shukran