Naomba kujuzwa namna ya kupata bando kubwa Halotel

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,957
3,182
Kwema wandugu,

Naomba leo tupeane maujanja na mbinu za kupata GB nyingi kwa bei nafuu hasa upande wa halotel.
 
Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti.

Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika.
 
Unafanyeje
 
Nipe mbinu baba ..
Au ni pale kwenye mobile data limit seting
 
Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti.

Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika.
Naomba ujanja ndugu jinsi ya kupunguza matumizi kwa kuzuia baadhi ya apps mpka nitakapokuwa na uhitaji
 
Hakuna ujanja mkuu, ujanja pekee ni kupunguza matumizi yako ya intaneti.

Unaweza kupunguza matumizi yako ya intaneti kwa kuzuia App zisitumie MBs mpaka pale unapoifungua App husika.
how do you do it
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom