Naomba kujuzwa namna ya kugawanya hisa (shares) za kampuni

TZCHINA

Senior Member
Dec 6, 2019
126
152
Habari wapendwa,

Nipo kwenye mchakato wa kufungua kampuni. Kuna kipengele cha Shares, mwenye ujuzi wa namna ya kugawanya share na maana zake anipe msaada tafadhali.

Nimekutana na huu mfano google lakini sijauelewa, atakayeelewa naomba anieleleweshe.

Bringing in new shareholders always means "dilution" to the existing shareholders. If a new investor is to receive a 10% stake in the company, then a shareholder who previously held 40% of the equity, will now hold 36% (i.e. 90% of 40%). You never actually never give up your shares when new people are dealt in. You simply issue more shares (the same way governments print money). Issuing more shares is what causes the dilution. If you have 100 shares and you want to give someone 10%, you'd have to issue 11 new shares (11/111 x 100 = 10%, approximately).

Ahsante sana kwa muda wenu wote.
 
Mfano mtaji wa kampuni ni 10,000,000/=
Shea ziko 1000 @ 10,000/=
mume ana shea 700
Mke ana shea 300
 
Kazi nyingine muwe mnatupa wataalamu, msitake kujifanyia kila kitu. Btw TZCHINA unaweza kuweka ordinary shares pekee, wewe ukajipa 95% na partner wako ukampa 5% au 99:1 (inamtegemea nani anaweka mpunga mrefu kwenye mtaji wa kampuni) kama shareholders mpo wawili. Weka thamani halisi ya kampuni sio inflated value
 
Wakuu kwanza kabisa ningependa MTU mmoja anyeelewa HV vtu atuandalie makala coz nimekuwa nikitamani kufanya biashara hii ya kuuza hisa kwenye makampuni Ila cjajua pa kuanzia
 
Wakuu kwanza kabisa ningependa MTU mmoja anyeelewa HV vtu atuandalie makala coz nimekuwa nikitamani kufanya biashara hii ya kuuza hisa kwenye makampuni Ila cjajua pa kuanzia
Hisa nyingi zinapatikana vijijini kama muheza,katoro,oljoro,butiama,kasulu,kwimba,sangasanga,mwika,hanang nk.
wewe unafanya kuzilangua kwa bei ya chini unazipeleka kariakoo pale dar free market au posta pale Dar stock exchange market unaziuza kwa bei ya juu.
 
Heheee
 
mkuu nimecomment kutokana na hiyo username yako tu...sijui umewaza nini asie😇
 
Back
Top Bottom