Wakuu poleni kwa usumbufu tena.Mimi natafuta MTU au watu ambao wapo Canada .sababu natamani kufika huko hivyo huenda wao watanipa details kamili ya namna wao walivyofika huko na connection kwa ujumla.asanteni
 
Wakuu poleni kwa usumbufu. Kama kuna watu/MTU wapo Canada nilikuwa nahitaji msaada kutoka kwao.waje wanipe details/connection kamili za namna gani walifanikiwa kuwa huko. Sabab mm pia nataman kufanya hvyo
 
Nenda YouTube mtafute mtu anaitwa Dnyota, angalia Video zake ana maelekezo...

Back
Top Bottom