Naomba kujuzwa namna ya kuangalia video bila kutumia data

kudath omar

Senior Member
Mar 18, 2018
142
117
Habari ndugu wataalamu.

Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya sekondari. Ilikua ni app ya kulipia monthly subscription ulikua unalipia shiling elfu 10.

Sasa ilikua ukishalipia unaweza kutazama zile video bila ya kuweka bando la internet ila kwa sharti tu uwe na laini ya voda. Sasa kilichonileta kwenu nikutaka kufahamu kutoka kwenye uelewa wa hili jambo, je hii inafanywaje, au kunakua na makubaliano yoyote na watu wa mtandao husika.

Naomba mwenye ujuzi na hili jambo aniambie: je kuunda app na watu kuangalia video bila ya kutumia bando (ila kwa kulimit mtandao fulani) hili linafanyika kwa ujuzi na uzoefu wa developer au ni makubaliano ya mtandao husika?.
kali linux
 
Back
Top Bottom