Naomba kujuzwa: Mwenye degree ya Telecommunication anaweza kufanya kazi gani nyingine nje ya kwenye makampuni ya simu?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,896
12,686
Wasalaam wakuu,

Naomba kujuzwa aliyesomea masuala ya Telecommunications engineering anaweza kufanya kazi gani nyingine nje ya kuajiriwa kwenye makampuni ya Simu?
 
Unaweza kufanya kazi kama Network Engineer...kama upo vizuri kwenye computer networking. Transmission Engineer kwenye TV and Radio Stations.
Signaling Engineer kwenye railway control systems.
 
Wasalaam wakuu,

Naomba kujuzwa aliyesomea masuala ya Telecommunications engineering anaweza kufanya kazi gani nyingine nje ya kuajiriwa kwenye makampuni ya Simu?
Sina uhakika sana lakin nadhani degree ni electrical and telecommunication engineering , zinakua pamoja . unaweza kufanya kazi za instrumentation/automation kwenye viwanda hata migodini
 
Wasalaam wakuu,

Naomba kujuzwa aliyesomea masuala ya Telecommunications engineering anaweza kufanya kazi gani nyingine nje ya kuajiriwa kwenye makampuni ya Simu?

Huyu ni mhandisi aliekamilika na nchi zingine huwa wanakuwa na vibali maalum na wanatambuliwa na serikali.

Yaani kuna kitu chaitwa security Clearance ndo hupitia ili kuingia na kutoka sehemu nyeti kwenye miundo mbinu maalum ya mawasiliano.

Aweza akajiajiri, na akaajiri watu wengine kwenye eneo alosomea.
Aweza kuanzisha kampuni ya networking solutions na kampuni ya Data centre.

Pia aweza kuajiriwa serikalini na vitengo nyeti.

Na mwisho aweza kuwa Edward Snowden.
 
Back
Top Bottom