Naomba kujuzwa maswali ya Interview TASAC Utumishi weekend hii

kitanywe 1

Senior Member
Aug 3, 2020
146
336
Wadau Mambo vip?

Naulizia kama mtu alisahwahi hudhuria interview ya TASAC katika nafasi ya Clearing and Forwading wanapenda kuuliza maswali gani?
 
Soma soma hizo material mkuu tunaweza tukatoka!

Nafasi 50 za TASAC, clearing and forwading grade 1 tumeitwa watu 1700..

nafasi 4 za motor vehicle licensing tumeitwa watu 800..

soma ba research pia kama mdau alivyosema hapo juu
 

Attachments

  • TEI_pregatire.docx
    52.1 KB · Views: 50
Back
Top Bottom