Naomba kujuzwa Mambo ya kuzingatia kwenye safari ya Dar to Dodoma nikiwa na Subaru Legacy

Matty96

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
215
194
Nategemea kufanya safari kutoka Dar kwenda Dodoma mwanzoni mwa mwezi November na gari yangu Subaru Legacy B4 2008 Push to start.. naomba ushauri juu ya mambo ya kuzingatia kabla, wakati na baada ya safari.. kuanzia service na vitu na kuweka sawa kabla sijaondoka.. service ya mwisho nmefanya zmepita tayari km 700 hv..

Cc: Wataalamu wote wa masafa marefu na wenye uzoefu na magari
 
Kwa hyo umeona Push to start ndio important feature ya gari lako?

Back
Top Bottom