Naomba kujuzwa machache kuhusu "field practical training" kwenye taasisi hizi

Kalaga baho

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
5,456
11,220
Habari ya muda huu ndugu mkereketwa wa JF,

Nikiwa mmoja wa wanachuo tunaojiandaa kwenda kufanya mafunzo ya vitendo (field or practical training) mwaka huu mnamo Julai, nimependezwa mno kurudi hapa "home of great thinkers" kujuzwa machache nisiyoyajua.

Nimejikita katika masuala ya magonjwa ya mlipuko "epidemiology" na "medical anthropology" nkiwa kama mwanatafiti wa sayansi jamii "social science". Naweza jifunza kazi benki, hospital, taasisi za kijamii za afya hasa NGOs za afya 'promotions or prevntives'.

Nimepanga kuomba field katika taasisi zifuatazo wiki hii (lengo langu kupata prior knowledge juu ya ubora wa taasisi hizi)

INTRAHEALTH
WORLD VISION
NORWEGIAN CHURCH AID
MDH
THPS
PATHFINDER
IRC
TACAIDS
Hospital zifuatazo:
SANITAS MEDICAL CENTER
TEMEKE HOSPITAL
SALI INTERNATIONAL
benki:
AZANIA BANK LTD

Najua kuna watu humu wafanyakazi, wahusika kwa namna moja am a nyingine katika taasisi tajwa, pia kama una taasisi yako binafsi unahitaj trainers kam sisi naomba weka ishara yoyote nitakuja DM.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom