Naomba kujuzwa maana ya 'Termination without notice'

Pesa haijapigwa ila wanahisi, wangekubali wanahisi ningenyoosha pesa..wakasema ni dishonesty, ila pesa haijapigwa.
Daaahhh ila wabongo kwa tamaa, sijui kwa nini hua haturidhiki na mishahara yetu ya halali, kila muajiriwa akili yake inawaza kupiga dili tu, tena wengine wanajiharibia kazi ya mshahara wa 2m kwa dili lisilozidi hata 1m.
Halafu akisharudi kitaani na ajira zilivyo ngumu ni full kujilalamisha.
 
Back
Top Bottom