Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu wa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu wa hili.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dada jane, Feb 4, 2012.

 1. d

  dada jane JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je ni halali mtumishi wa umma kujisomesha?
   
 2. K

  Kijunjwe Senior Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ulitaka nani akusomeshe kama wewe ndiye ujuwaye umuhimu wa elimu unayoitaka? kuwa mtumishi wa umma haimaanishi kuwa kila elimu utakayo umma lazima ugharamie.
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Fataki anatoa mkopo ndani ya TIA kisha mimba hazina uhakika mpaka kwa DNA
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kwa hyo ulitaka na wewe ukabanane na vitoto kule heslb?
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Ni halali.
   
 6. d

  dada jane JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu nilikuwa nijirishe kwani kwa kawaida halimashauri au manispaa huwa wanasomesha kwa kukulipia ada na nauli. Sasa nilitaka kujua kama iko ktk taratibu na kanuni za serkali au ni kaufisadi kengine? Kwani huwa inakuwa randamly unaweza ona wengine wanalipwa wengine hawalipwi. Ndio sababu nimeomba mwenye uelewa jambo hilo anifahamishe ilinifuatie kama ni haki yangu.
   
 7. d

  dada jane JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mchemsho bwana kwa hiyo wewe ufahamu wako uko kwenye mafataki.
   
Loading...