Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu wa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu wa hili.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dada jane, Feb 2, 2012.

 1. d

  dada jane JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inakuwaje mtu umepata nafasi ya kwenda chuo kikuu umekidhi vigezo vyote kama muda wa kufanya kazi zaidi ya miaka 3, mwajiri anakuruhusu huku akicomment kuwa utajisomesha na kujigharamia gharama zote ikiwa ni pamoja kujisafirisha wakati wote wa likizo. Ninachojua stahiki yako kama mtumishi wa umma ni pamoja na kusomeshwa kwa kipindi unapokuwa kazini, kutibiwa kipindi cha utumishi nk naomba kusaidiwa..
   
 2. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Unafanya kazi wapi serikarini au?
   
 3. d

  dada jane JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndio mkuu
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ni haki yako so komaa nao mkubwa.
   
 5. d

  dada jane JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Kanchi naomba msaada wako. Je kuna waraka wowote ambao unaufahamu utakao nisaidia kusimamia katika hilo. Please.
   
Loading...