Naomba kujuzwa kuhusu upatikani wa ajira katika nchi za Botswana na Namibia

Kandahar Tz

Member
Apr 2, 2017
26
21
Nina Umri wa miaka 27 nina diploma ya Electrical Engineering na sasa hvi nipo mwaka wa mwisho nasoma degree ya Electrical Engineering. Kwa kifupi hapa bongo mfumo wa ajira za uhakika with high paying scale ni ngumu sana kuzipata. Nimesikia nchi hizi mbili za Botswana, Namibia na Angola bado wana magepu kwa Doctors, Engineers na Teachers. So kwa yeyote mwenyewe ufahamu kuhusu hili unakaribishwa mchango wako ni muhimu sana.
 
Ukiongozwa na tamaa kamwe hauwezi fanikiwa.
Ebu kwanza maliza chuo, kisha ukuje huku mtaani upambane na hali halisi.
 
Back
Top Bottom