Naomba kujuzwa kuhusu umiliki wa Dizzim TV na Dizzim TV

Mmiliki wa Dizzim ni SALAAM SK, siyo Babu tale...

Hiki kitu kipo wazi kabisa, aliinunua kutoka kwa Mosha ilikuwa inaitwa African swahili channel...

Na mauziano haya yalikuwa wazi, sijui nyie mmetoa wapi hiyo ya kusema inamilikiwa na Tale..

Hakuna kitu kinashangaza kama mtu unajibu kitu usichokijua kwa kujiamini..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Nilitaka niache kukujibu ila maneno yako ya mwisho yamefanya nijibu uharo wako.
.
Mmiliki wa Dizzim Tv, radio na online anaitwa Hamis Taletale aka Babu Tale huyu hana sauti wasafi media kabisa ila ana control cha kwake ambacho ni dizzim na kakipeleka kwao zaidi.
Mtu wa mbeya unakuja na maudaku yako hapa kukejeli watu wakati huna ukijuacho.
.
Mendez ni sehemu ya hiyo dizzim ila sio boss
 
Nafikiri Ni swala la kuzidiana katika umkliki wa hisa kati ya tale na sallam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom