Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

so hukupiga oral alafu nahis walichukua kweny database coz wote tulifany ule wa assistance commercial

Mbona kuna watu walichukuliwa awamu ya pili hao 20top lkn wewe upo kwenye data unaweza kujikuta umetupwa sehem nzur tu ata bandali uko ama Tanesco
 
Mkuu waswahili wanasema mwenye bahati kalale, kila mtu na bahati yake.

Mbona wengine wanakuja kuchukua reference kwangu interview inafanywaje, unamuelekeza yeye anatoboa mimi sitoboi
Mambo haya yanakwenda kwa rizki.

Ni sawasawa unaweza ukawa motivational speaker ila ukajikuta una maisha magumu kishenzi sio poa.

Usikute umepangiwa kutoboa kwenye biashara wewe unakomaa na Akita badala ya kuelekeza Nguni zako huko
 
acheni ushamba nyie izo kazi zilitok za kwanz tok mwez wa tisa mwez wa kumi tukapig interview tar 8 mpak 11 tar 2 mwez wa 11 wakatoa majin waliopita na tar 9 wakatoa tena majina kma kitu ukijui sema uelezwe sio unacomment us*ng*
 
Back
Top Bottom