Trcs5....Trcs4 ngap kakaaa
Trcs5....Trcs4 ngap kakaaa
Trcs 5 inacheza ngapHapana wote wa diploma wanaanzia trcs 3 ambayo tsh 545000 tu...
Posho ya nyumba 10%
Posho maalum 30000/
Labda upige na OVERTIME
Trcs 5 inacheza ngap
so hukupiga oral alafu nahis walichukua kweny database coz wote tulifany ule wa assistance commercial
Mkuu waswahili wanasema mwenye bahati kalale, kila mtu na bahati yake.
Mbona wengine wanakuja kuchukua reference kwangu interview inafanywaje, unamuelekeza yeye anatoboa mimi sitoboi
Mambo haya yanakwenda kwa rizki.
Ni sawasawa unaweza ukawa motivational speaker ila ukajikuta una maisha magumu kishenzi sio poa.
ANAZINGUAMbona hata deadline bado na kazi wametangaza majuzi tu, hugo ndugu yako kaitwaje?
Kwann unamsingizia mdogo wako wakati muhusika ni wewe?acha tuu mkuu kuna mda unatamani kuacha ukiwaza kitaa kilivyo kigumu dah unaona bora ukaze tuu aiseeee
Kwa Kila muajiriwaKandahar Tz iyo posho kila mtuu au inategemea mkuu
Posho ni 300,000 sio 30,000.
saw mkuu Kandahar Tz hivi trcs 3 gross na net ni ngap mkuu
Hapana Kuna watu wana TRCS 3 na wana dip za Mechanical Engineering.trcs 3 ni diploma ya acc marketing ba ila trcs 4 ni diploma ya mambo ya engeneering kwa nnavyofahamu mimi